Changamoto za kijamii, Elimu, Shule|

Dk. Meiling alikuja chini ya ufadhili wa Wakfu wa Kichina wa Amani na Maendeleo, (CFPD) ambao ni washirika wa TCFPA katika Maendeleo. Akiwa Tanzania, Dk. Meiling Zhao na timu yake walitembelea Shule ya Msingi ya Magorofani na Juhudi iliyopo Gongolamboto, Dar es Salaam, kama dhamira ya kutafuta ukweli wa namna bora ya kuzisaidia shule za Tanzania kupunguza changamoto za elimu na kijamii, zinazowakabili wanafunzi katika shule za umma hadi sasa. . Katika picha hii anaonekana akiwa na timu yake akiongozana na Bi Husna Sharif wa TCFPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close Search Window
↑